Msaada kupunguza unene

Ushafanya investigation ukajua mumeo ana mchepuko?? Hiyo ni best natural home remedy ya kupunguza kilo 10 kwa wiki moja
 
Naombeni mnisaidie jinsi ya kupunguza unene bila kuathiri unyonyaji wa mtoto ana miezi tisa asa hivi

Hebu sema urefu wako, na uzito wako wa sasa ili tuone ni kg ngapi unatakiwa upunguze.
 
Kuku ni Red meat(nyama nyekundu) siku hizi!?
 
Ndio maana hii nchi haiendelei, kila mtu ni mtaalam wa afya, kila mtu ni daktari.

Sielewi wewe ni daktari w a miti shamba au umesomea udaktari chuo kikuu. Maana hata waganga wa kienyeji wanajifanya ni wataalam wa vinywaji la vilaji.

Nipe madhara ya nyama nyeupe unayomkataza mtu asile na kwa nini unamkataza.
 
Mazoezi hayamsaidii mtu kupunguza uzito na na wala hayatakusaidia kupunguza uzito, anaedanganya watu mazoezi yanapunguza uzito sijui huo utafiti wameufanyia wapi.

Kazi ya mazoezi ni kuufanya mwili uwe wa afya njema bila kujali kama wewe ni mmeme au mwembamba, kazi ya mazoezi ni kukusaidia kumantain uzito ulionao.

Njia kuu ya kwanza ni kupunguza carbohydrates intake na mafuta, punguza vyakula vya mafuta na wanga(ugali, wali). punguza vyote, usipunguze mafuta ukaacha wanga labda kama unafanya kazi nzito ambapo wanga inahitajika kwa wingi. Matatizo ya wanga ni kua ikikaa mwilini bila kazi inageuka kua mafuta hivyo kuongeza unene.

Baada ya kupunguza hivyo vitu kula sana mboga mboga na matunda ila sio kwa sana maana matunda pia yana wanga(nanasi, nazi, ndizi, tikiti maji nk) ndio ufanye mazoezi.

kufanya mazoezi tu bila kupunguza carbs & fats ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Unapungua haraka sana. Wala huhitaji mazoezi wala kuwa na wasiwasi wa uroho wengine pembeni yako wakila vinono vya kunukia.
Hahahahaaa very true ....hahahahaha umenikumbusha siku moja niliona text kw mr wangu nikasoma convy zote niliumwa balaa [emoji28][emoji28]yaani nilikosa raha,kula siwezi,siliii sicheki nipo nipo tu,yalivyoisha kipenz akaniambia naona ume loose weight ghafla hahaha akaniambia kumbe dawa ya kukupungyza unene ni inapatkan kwa gharama nafuu bila mazoez hahahaha
 
Hehe yaan mie sikondi kwa mambo kama hayo huwa hayanipi shida hata ningekuwa ndio ww ningeshakuwa kama njiti lakin huwa najipa raha mwenyewe
 
Hehe yaan mie sikondi kwa mambo kama hayo huwa hayanipi shida hata ningekuwa ndio ww ningeshakuwa kama njiti lakin huwa najipa raha mwenyewe
Shost raha unajipa lkn ile siku y kwanz n ya pili tusidanganyane lazm upate shock ss wengine shock kama hyo tunaisha within a hour
 
Shost raha unajipa lkn ile siku y kwanz n ya pili tusidanganyane lazm upate shock ss wengine shock kama hyo tunaisha within a hour
Ilikuwa zaman sana lakini cku hizi siumiz kichwa changu shost
 
Reply ya kwanza ya muhimu sana, ila ongezea hii.. Achana kabisa na SUKARI, nimeweka herufi kubwa maana ndio tatizo la wengi duniani. Sukari inaleta unene wa fasta sana, chumvi nayo inakuzeesha haraka, yaani ka vipi ukipika chakula weka chumvi kidogo sana ile kuleta taste tu, alafu kata sukari 90%, wengi mnaijaza kwenye chai ya asubuhi, cake, cookies e.t.c kata vyote, kula vitu healthy tu kama jamaa wa kwanza alivyokujibu, utashangaa utakavyopungua fasta. Bidhaa nyingi zinauzwa kua zinapunguza uzito wanakwambia uzitumie ku-suppliment mlo wako kumbe ni placeabo tu, wanajua fika ukikata mlo wako wa sasa hivi tayari utapungua. Nilipanda hadi 90kg kwa vyakula vya sukari, sasa nimerudi 70kg, kwa mfanya mazoezi ni uzito wastani unanitosha kabisa.
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…