Msaada: kurekebisha saa kwenye radio ya gari..

Msaada: kurekebisha saa kwenye radio ya gari..

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Ni radio aina ya Sanyo ina cd player nashindwa kurekebisha saa yake!
 
Weka picha tuone,,hakikisha terminal za battery hazisumbui ili isiwe inapoteza majira
 
Hii hapa Jamani,msaada.
1611021006620s0.jpg
 
Jaribu kushikilia disp kwa sekunde 5 hivi kama dakika zitaanza kucheza tumia buttun ya fwd na rev kubadili saa na dakika
 
Back
Top Bottom