Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili
tatizo.
Jaribu ku clear cache na data za app ya camera,ikigoma jarbu kuwipe cache partition kweny recovery mode..na ikigoma hapo basi huenda ni hardware problem mkuu