Mkuu inabidi uwanzie TRA upatiwe tax clearence ya uthibitisho hudaiwi na TRA then ndio uwende manispaa nakuweza kurenew leseni yako vinginevyo itakuwa kazi bure hali sasa hivi imebadilika tofauti na awali leseni ikiisha inaenda kurenew moja kwa moja manispaa.
Kwa msaada na maelezo saidi contact : 0785-074040