Msaada Kureseat Advance

Babaticha

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
26
Reaction score
1
Ninamatarajio ya Kufanya tena Mtihani wa Kidato cha 6 Mwakani 2015

Kwani nlifanya kama School Candidate mwaka 2011,Katika Comb Subject Nlikuwa na Matokeo haya (H-S K-S L-S) pamoja na GS-S.

Kwa Matokeo hayo ninataka kufanya masomo hayo yote ya Comb ila kuna mtu alinambia ni lazima nirudie had GS kwa kuwa itakuwa ni usumbufu wakati wa usajili Chuoni kwa kuwa nitakuwa na vyeti viwili,

Hivyo naomba kueleweshwa kama kuna ulazima wa kurudia somo hilo na utaratibu zima wa kureseat Advance

Mawwasilisha Wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…