Msaada kurudia mwaka chuo kikuu

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
Hello wana JF,

,,,je inawezekana kwa hapa UDSM ?

Msaada tafadhari,,,kuhusu HESLB hao jamaa sitaki uwaongelee katika jibu lako kwani sihusiki nao kabisa,
 
Kwa sasa unasoma koz gn na unataka uhamie koz gn?
 
Kwa sasa unasoma koz gn na unataka uhamie koz gn?
JIBU THEN NIKUPE MAUJANJA
 
We utakua umedisco,acha kusumbua watu hapa.
 
duuu mbona hapat ushaur.....asa kama kadisco.......si ndo mmwambie afanye nn....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…