Msaada: Kurudisha akaunti yangu ya Facebook

Msaada: Kurudisha akaunti yangu ya Facebook

mtemi wa vuga

Member
Joined
Jul 7, 2022
Posts
65
Reaction score
157
Jamani habari za leo,

Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password!

Natanguliza shukurani!
 
Back
Top Bottom