M mtemi wa vuga Member Joined Jul 7, 2022 Posts 65 Reaction score 157 Jul 11, 2024 #1 Jamani habari za leo, Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password! Natanguliza shukurani!
Jamani habari za leo, Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password! Natanguliza shukurani!