42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Nilibuy Display ya s10 plus Aliexpress but ikaja ikiwa damaged.
Nikafungua dispute na zikatoka solutions mbili na ikabidinichague moja.
1. Kuwa compesated na kiasi kidogo lakini nibaki na display. Like 30% tu.
2. Kurudisha Display na kupewa full refund.
Nikachagua hiyo namba 2.
Wakakubali na wakanipa adress ya kutuma hiyo parcel.
Shipping cost wanasema italipwa na seller.
Shida yangu ni moja. Ili nilipwe hela yangu natakiwa kuprovide Carrier pamoja na Tracking number.
Ni Carrier/Courier gani bongo atakubali kusafirisha huo mzigo bila kunicharge chochote?
Mliowahi kureturn bidhaa aliexpress naomba mawazo yenu.