42774277 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 6,833 Reaction score 8,853 Jun 27, 2022 #1 Nilibuy Display ya s10 plus Aliexpress but ikaja ikiwa damaged. Nikafungua dispute na zikatoka solutions mbili na ikabidinichague moja. 1. Kuwa compesated na kiasi kidogo lakini nibaki na display. Like 30% tu. 2. Kurudisha Display na kupewa full refund. Nikachagua hiyo namba 2. Wakakubali na wakanipa adress ya kutuma hiyo parcel. Shipping cost wanasema italipwa na seller. Shida yangu ni moja. Ili nilipwe hela yangu natakiwa kuprovide Carrier pamoja na Tracking number. Ni Carrier/Courier gani bongo atakubali kusafirisha huo mzigo bila kunicharge chochote? Mliowahi kureturn bidhaa aliexpress naomba mawazo yenu.
Nilibuy Display ya s10 plus Aliexpress but ikaja ikiwa damaged. Nikafungua dispute na zikatoka solutions mbili na ikabidinichague moja. 1. Kuwa compesated na kiasi kidogo lakini nibaki na display. Like 30% tu. 2. Kurudisha Display na kupewa full refund. Nikachagua hiyo namba 2. Wakakubali na wakanipa adress ya kutuma hiyo parcel. Shipping cost wanasema italipwa na seller. Shida yangu ni moja. Ili nilipwe hela yangu natakiwa kuprovide Carrier pamoja na Tracking number. Ni Carrier/Courier gani bongo atakubali kusafirisha huo mzigo bila kunicharge chochote? Mliowahi kureturn bidhaa aliexpress naomba mawazo yenu.
Donald Marcus Hemu JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 372 Reaction score 535 Jul 4, 2022 #2 Umewacheki DHL au Ali express standard shipping