Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
368
Reaction score
556
Habari ndugu

Nakuja hapa naomba mnisaidie

Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu

Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza

Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo na njia zote nimeshindwa

Naomba yafuatayo
Kama mtu anaweza kunisaidia kuwasiliana nao kwa email au barua moja kwa moja yahoo anisaidie nimesikia wapo pia Kenya

Au kama mtu anaweza nisaidia anisaidie ,nikiingia wananiambia niingize no niliyosajili na account...hiyo no siitumii tena alishapewa mtu mwingine

Naomba msaada wenu Mhe. Maxmillian Mello Na wadau wote

Asanteni sana
 
Hivi unajua neno 'tetesi' linatumika katika mukhtadha upi?
 
Wasiliana na huyo jamaa aliepewa hiyo number mueleweshe kama n muelewa utasaidika chap.

Mimi nilishawahi kupoteza account ya telegram na number niliyotumia alikua amepewa mtu mwingine basi nikamcheki mwamba tukayajenga akanitumia zile code
 
Back
Top Bottom