mustafa ommy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 221
- 127
Wadau ninaelekea china kibiashara, naomba msaada, kama kuna mtu anayejua kuhusu kusafirisha bidhaa kutoka china kwenda tanzania, na je ni muda gani bidhaa zinakuwa zimeshafika, ni mzigo wa vifaa vya kielectroniki