mustafa ommy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 221
- 127
Mkuu ritz wako mji gani?, mimi ninaelekea shengzen, tafadhali naomba kama unaweza kunipa contact zaoUkifika China nunua mzigo wako kisha peleka kampuni ya Silence watakusafirishia mpaka Tanzania, malipo utayafanyia Tanzania.
Ni Silent na si Silence kama ulivyosema kiongozi...Ukifika China nunua mzigo wako kisha peleka kampuni ya Silence watakusafirishia mpaka Tanzania, malipo utayafanyia Tanzania.
Ni Silent na si Silence kama ulivyosema kiongozi...
Ni Silent na si Silence kama ulivyosema kiongozi...
Mkuu ritz wako mji gani?, mimi ninaelekea shengzen, tafadhali naomba kama unaweza kunipa contact zao
SILENT ROAD HAULAGE LIMITED
P.O.Box:38307
Dar es Salaam
Tanzania
Mobile : 255 719 522222
Email: info@silentroadhaulage.com