Msaada: Kusafirisha kifurushi toka Mbeya hadi Kahama

Msaada: Kusafirisha kifurushi toka Mbeya hadi Kahama

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
3,644
Reaction score
4,315
Nahitaji kufikisha kamzigo kadogo tu ka mafuta ya nyonyo na unga wa maziwa ya mbegu za maboga. Kadoogo.

Gari zinaenda Mwanza, hakuna ya Kahama kituo kikuu tokea hapa(Mbeya). Kama ipo nijuze.

Kama kuna anayesafiri karibuni kabla ya nanenane tuwasiliane basi nimkabidhi. Ni kadogo tu utaita 'bahasha' or kakipeperushi..... sorry kifurushi🤭😺

Mafuta tutano na tuunga ntafanya kama nusu kilo iv. Eaaaasy.

Gharama? Ratiba!? Tuwasiliane 073418902
 

Attachments

  • 20230722_095151.jpg
    20230722_095151.jpg
    865.9 KB · Views: 6
  • Maziwa.JPG
    Maziwa.JPG
    135.6 KB · Views: 4
Yaani mtu baki tu humjui akijitokeza unampatia mzigo wako akusafirishie?
 
Yaani mtu baki tu humjui akijitokeza unampatia mzigo wako akusafirishie?
Ndiyo?

Dunia imekuwa salama na connected zaidi siku hizi so why not?

Mawasiliano si yapo.
 
Back
Top Bottom