K Kapuku83 Senior Member Joined Sep 8, 2012 Posts 146 Reaction score 35 Mar 16, 2013 #1 Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni
Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni