Msaada kusajili kikundi cha ujasilia mali!

Mbaliche

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
294
Reaction score
61
Jf members naomba msaada kwa yeyote anae jua ha2a za kusajiri kikundi cha ujasilia mali, 2meungana vijana 10 ambao 2nachimba visima,ujenzi wa nyumba, umeme wa solar, na kuvuta maji machafu ktka vyoo ambavyo vipo sehemu ambazo hazifikiwi na magari ya maji taka. jf ni kila ki2 halikwami jambo.
 

Wakuu msaada tafadhali
 
Nenda BRELA mkajisajili kama kikundi (Partnership), watawapa fomu za kujaza na baadae unakwenda TRA chukua TIN kisha unamalizia leseni kwenye ofisi ya biashara eneo la ofisi yenu. Ukishamaliza hizi taratibu fungueni akaunti benki na anza kuchapa kazi kihalali...
 

MKUU HONGERENI SANA KWA KUPAMBANA KWA VITENDO, MIMI NINGEWASHAURI YAFUATAYO

1. Kwa sababu mko kumi sajirini kampuni kabisa make itawasaidia kupata tenda nyingi mkifanya kama kikundi mtakosa oportunity nyingi sana

2. Andaeni mwongoza wa kusajili kampuni na kabla ya kusajili fanyaeni haya
- Kama wewe ndo mwanzilishi wa hicho kikundi hakikisha unakuwa na share zaidi ya nusu ili kulinda wazo la kapuni yenu

3. Mkisajili kama kampuni ni vizuri zaidi na hizo biashara zote mnazo fanya (SBU) mtazikatia leseni zake na kufanya kazi kwa ufasini zaidi,
 

nashukuru mkuu
 

nashukuru kiongozi ntafanyia kazi ilo
 

nisaidie contact yako mkuu nitakutafuta kwenye uchimbaji wa visima, mejagl@rocketmail.com
 

Mkuu pitia http://www.brela-tz.org/downloads/FEES.pdf

kisha wasiliana nasi tukusaidie kusajili kampuni yako kwa muda mfupi. Huhitaji kusumbuka, tupo kwa ajili yako
email us cerengeti@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…