Msaada kusajili Paypal kwa namba na ID ya mtu aliyepo Oman

Msaada kusajili Paypal kwa namba na ID ya mtu aliyepo Oman

RD07

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
52
Reaction score
90
Habari JF:

Nataka kusajili Paypal kwa namba ya Oman nikiwa Tanzania, ila nikishafika kwenye kipengele cha kuweka namba ya simu nikiiweka na kuruhusu hatua inayofuata haiendelei, yaan niki click NEXT ina load tuu halafu inabak palepale.

Napaswa kufanya nini?, maana nilifikiria kuwasha VPN ila siwanasema Paypal hawataki masuala ya VPN?
Msaana Wajuzi, nitashukuru
 
Nafkiri ni PayPal wenyewe wanazingua, niliwahi kupata Tatizo kama hilo kutumia no ya Kenya, mpaka utumie Zuku inakubali.

Kwanini usitafute mtu kule asajili kabisa kule kule aje akupe tu wewe login details?
 
Sawa mkuu, itabdi nifanye hvyo japo mwenye namba hyo nae yupo busy sana, ndo maana nikataka nifanye mimi huku
 
Sawa mkuu, itabdi nifanye hvyo japo mwenye namba hyo nae yupo busy sana, ndo maana nikataka nifanye mimi huku
Ukipata Vpn premium kama Nord ama Express unaweza ukaidanganya system isijue kama ni vpn.
 
Ukipata Vpn premium kama Nord ama Express unaweza ukaidanganya system isijue kama ni vpn.
Na muda huo anatumia VPN azime location kwanza, iliwai nikuta japo sio paypal, VPN inasoma Kwingine chrome yenyewe kwakua location ina ijua insoma Tanzania.
 
Kama hujaweza kufungua njoo nikusaidie kufungua bure paypay ya nchi yoyote utakayo na namba unapata
 
Back
Top Bottom