Sawa mkuu, itabdi nifanye hvyo japo mwenye namba hyo nae yupo busy sana, ndo maana nikataka nifanye mimi hukuNafkiri ni PayPal wenyewe wanazingua, niliwahi kupata Tatizo kama hilo kutumia no ya Kenya, mpaka utumie Zuku inakubali.
Kwanini usitafute mtu kule asajili kabisa kule kule aje akupe tu wewe login details?
Ukipata Vpn premium kama Nord ama Express unaweza ukaidanganya system isijue kama ni vpn.Sawa mkuu, itabdi nifanye hvyo japo mwenye namba hyo nae yupo busy sana, ndo maana nikataka nifanye mimi huku
Na muda huo anatumia VPN azime location kwanza, iliwai nikuta japo sio paypal, VPN inasoma Kwingine chrome yenyewe kwakua location ina ijua insoma Tanzania.Ukipata Vpn premium kama Nord ama Express unaweza ukaidanganya system isijue kama ni vpn.