FromHeaven
Member
- Aug 8, 2018
- 17
- 16
Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza ndo ivoivo ila nikitumia WI-FI kila kitu kinaenda vizuri, mnisaidie apo wakubwa namna ya kufanya halotel nimeshaongea nao sana maelekezo yao hayajasaidia nazani inahitaji expert fulani wa IT hivi.