FromHeaven
Member
- Aug 8, 2018
- 17
- 16
Hapana haipo slow mfano nikihitaji kudownload kitu ata cha mb 600 ni ndan ya dakika 1 inamaliza na izo video youtube haijawahi kuload inaplay kama unaangalia offline tu,ipo fasta. Marekebisho simu ni LG V20Huenda halotel iko slow,
Jaribu na line za mitandao mingine.
Hapana kama sahivi apa nina gb 2 mwanzo zilikuwa nne shida ipo palepaleAu bando mkuu? 😉
mara nyingi hili tatizo hutokea unapokosea kutengeneza access point,Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza ndo ivoivo ila nikitumia WI-FI kila kitu kinaenda vizuri,mnisaidie apo wakubwa namna ya kufanya halotel nimeshaongea nao sana maelekezo yao hayajasaidia nazani inahitaji expert fulani wa IT hivi
Nimetest iyo bado shida inaendelea apa naandika kwa kutumia iyo setting uliyoniambiamara nyingi hili tatizo hutokea unapokosea kutengeneza access point,
hakikisha unatengeneza acess point mpya usiweke chochote zaidi ya connection name na Apn tu iwe internet kwengine kote acha kama kulivyo.
Nimetest iyo bado shida inaendelea apa naandika kwa kutumia iyo setting uliyoniambia
NiliagizaMkuu hii simu uliiagiza mtandao au ulinunua hapahapa tz?
Kwa halotel nenda settings then mobile networkNiliagiza
Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi picha wala txt za whatsapp facebook telegram na Twitter pinterest hazirefresh ilivoload siku ya kwanza ndo ivoivo ila nikitumia WI-FI kila kitu kinaenda vizuri, mnisaidie apo wakubwa namna ya kufanya halotel nimeshaongea nao sana maelekezo yao hayajasaidia nazani inahitaji expert fulani wa IT hivi.
Nimeangalia sijaweka optiona ya wi-fi only kwenye hivi vitu vinavokataa kufanya kazi,mtandao unasoma 4G karibu muda wote sina VPN wala roaming haipo ONInawezekana umeseti "WiFi-Only" kwenye baadhi ya settings. Hakikisha Roaming iko off (Not Roaming). Hakikisha hakuna VPN. Jaribu kuweka laini ya Vodacom. Mtandao unaonesha LTE?