Msaada kushikwa na misuli mara kwa mara

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
Hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.
 
Ingekuwa vizuri kama ungefafanua zaidi kuwa ni misuli ipi, na hutokea katika mazingira gani!

Sababu mojawapo ya muscle cramps kwenye miguu ni upungufu wa madini aina ya calcium, potassium au magnesium katika mwili wako.
 
Mkuu ni misuli ya kwenye vidole, mapajani na kwenye ugoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…