MSAADA; Kushindwa kuleta shahidi au ushahidi muhimu mahakamani!!!

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Wadau naomba msaada wa kesi/vifungu zinazohusu athari ya upande kushindwa kuleta mashahidi wa muhimu kwenye kesi pamoja na ushahidi muhimu kwenye kesi husika

Swali la nyongeza evidence Act and Elecronic Transaction Act is applicaple in Labour matters especially cma?
Shukran Petro E. Mselewa , Dragoon,
 
Kuhusu kushindwa kuleta ushahidi mahakamani soma kesi zifuatazo zitakupa mwangaza fulani hivi;

1) Republic v. Patel
2) Muhagama v. Government of Zanzibar
3) Mugizi v. Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…