Msaada, kushuhudia mtu akijinyonga ni kosa kisheria!?

Call me GHOST

Member
Joined
Jan 18, 2019
Posts
53
Reaction score
96
Nahitaji kujua kwenye sheria kama ukikutana na mtu anataka kujiua na ukamuacha ajiue bila kufanya chochote unakua na makosa kisheria???na adhabu yake ni ipi!?
 
Hamna kosa hapo. Mbona mie nilishuhudiaga mjomba alipokua anajinyonga. Sema alienda kufia hospital pale Kahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…