Msaada kusoma masters UDSM

Msaada kusoma masters UDSM

chopp

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
220
Reaction score
41
Hivi kusoma masters UDSM unatakiwa uwe na GPA gani?
 
Kuanzia 3.5' hii inamaana uwe na upper second au first class

Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo...
 
Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo...

hadi 2.8 wanachukuliwa, inategemea unataka kusoma coz gan manake kila coz inavigezo vyake, wameshaanza kutoa matangazo ya application, tembelea mara kwa mara web yao
 
Back
Top Bottom