C chopp JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 220 Reaction score 41 Feb 6, 2014 #1 Hivi kusoma masters UDSM unatakiwa uwe na GPA gani?
RSR Member Joined Dec 9, 2013 Posts 88 Reaction score 2 Feb 6, 2014 #2 chopp said: hivi kusoma masters udsm unatakiwa uwe na Gpa gani? Click to expand... Kuanzia 3.5' hii inamaana uwe na upper second au first class
chopp said: hivi kusoma masters udsm unatakiwa uwe na Gpa gani? Click to expand... Kuanzia 3.5' hii inamaana uwe na upper second au first class
paparazzi JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 572 Reaction score 145 Feb 7, 2014 #3 RSR said: Kuanzia 3.5' hii inamaana uwe na upper second au first class Click to expand... Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo...
RSR said: Kuanzia 3.5' hii inamaana uwe na upper second au first class Click to expand... Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo...
K kinakirefu Member Joined Jan 20, 2013 Posts 75 Reaction score 14 Feb 7, 2014 #4 paparazzi said: Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo... Click to expand... hadi 2.8 wanachukuliwa, inategemea unataka kusoma coz gan manake kila coz inavigezo vyake, wameshaanza kutoa matangazo ya application, tembelea mara kwa mara web yao
paparazzi said: Hiyo upper second lazima iwe ya udsm hapo hapo, lakini kama ni ya chuo kingine vigezo hubadilika kulingana na chuo... Click to expand... hadi 2.8 wanachukuliwa, inategemea unataka kusoma coz gan manake kila coz inavigezo vyake, wameshaanza kutoa matangazo ya application, tembelea mara kwa mara web yao