Msaada Kusoma open university online

FRELIMO

Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
42
Reaction score
4
Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti
matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV- D,BIO -F,MATH- F.
Msaada na ushauri unapokelewa kwa heshima zote.
 
Nafikiri angalia kwenye website yao, japo sina hakika kama wanatoa pia certificate ya sheria
 
Asanten wandugu,naona nimefatilia website yao ukweli naona hawatoi certificate.duh naona ishakuwa ngumu mwaka jana nilireseat nikabahatisha credit ya tatu ila mazingira ya utafutaji pesa yamenibana kiasi cha kua pori kwa pori mjini mara chache na azma ilikuwa kusoma advance as private cndt(1yr) ila naona kama inayeyuka but sijui kama hizi c,c,c za kuungaunga kama zina expire au?.ili nikipata chance ya town niendelee na adv studies.KAMA KUNA USHAURI MBADARA PLZ NAOMBA KULINGANA NA HIZO RESULT TO CONSIDER mazingira yangu ya utafutaji kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…