Napa-huu New Member Joined Nov 17, 2022 Posts 3 Reaction score 0 Sep 5, 2024 #1 Habari! Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?
Habari! Nina mahindi gunia 25 za mahindi, zipo mbinga, Ruvuma. Kwa sasa bei sokoni ipoje? Au naweza kupata makampuni ili kuwauzia mzigo wote kwa pamoja? Au naomba ushauri, niuze kwa namna gani?