mimi nimetahiriwa, nina miaka 32 kwa sasa, ila natamani kama ningekuwa sijatahiriwa hadi leo hii, nisingethubutu kukata govi, kwasababu nasikia kisayansi, sensation za mtu ambaye ametahiriwa na yule ambaye hajatahiriwa katika kufurahia tendo takatifu ni tofauti, yule ambaye hajatahiriwa bado kuna mishipa ambayo haijakatwa, ambayo inamfanya apate raha zaidi. pamoja na kwamba, najua ninepata shida kwa wanawake, hilo lisingekuwa tatizo, nenda kwenye maeneo ya watu ambao hawatahiri utawakuta wanawake waliozoea magovi kule ambao wanaona magovi sio uchafu, utafurahia ndoa, kuliko kumpata mwanamke ambaye anajua kuwa govi ni uchafu ukawa na inferiority ukashindwa hata kuscore...hahaha. na sensation umepunguzwa kwenye mhogo wako. nasema toka rohoni, kama ningekuwa sijatahiriwa, ningeacha tu hadi leo hii, kwasababu ninavyosikia, nimepunjwa raha, ningekuwa nasikia raha zaidi ya hapa ninavyosikia kwasasa kama ningekuwa sijatahiriwa.