Loh!
Hapo kazi kweli kweli dogo.
Kwanza ukishatairiwa omba "usidindishe"ukidindisha cha moto utakiona.
mimi nimetahiriwa, nina miaka 32 kwa sasa, ila natamani kama ningekuwa sijatahiriwa hadi leo hii, nisingethubutu kukata govi, kwasababu nasikia kisayansi, sensation za mtu ambaye ametahiriwa na yule ambaye hajatahiriwa katika kufurahia tendo takatifu ni tofauti, yule ambaye hajatahiriwa bado kuna mishipa ambayo haijakatwa, ambayo inamfanya apate raha zaidi. pamoja na kwamba, najua ninepata shida kwa wanawake, hilo lisingekuwa tatizo, nenda kwenye maeneo ya watu ambao hawatahiri utawakuta wanawake waliozoea magovi kule ambao wanaona magovi sio uchafu, utafurahia ndoa, kuliko kumpata mwanamke ambaye anajua kuwa govi ni uchafu ukawa na inferiority ukashindwa hata kuscore...hahaha. na sensation umepunguzwa kwenye mhogo wako. nasema toka rohoni, kama ningekuwa sijatahiriwa, ningeacha tu hadi leo hii, kwasababu ninavyosikia, nimepunjwa raha, ningekuwa nasikia raha zaidi ya hapa ninavyosikia kwasasa kama ningekuwa sijatahiriwa.
Kaka mkubwa achana na mambo ya kizushi, cha msingi funga safari ya mbali nenda kafanyiwe tohara kitaalamu, hapa namaanisha hospitali( kama eneo ulipo unaona aibu) magonjwa yahusuyo ngono ni mengi na inabidi kuwa msafi kila baada ya kufanya mapenzi, ama sivyo utapata maambukizo ya magojwa ngono mapema KAMA HUJATAHIRIWA. Inachukua takribani siku 14 kupona kabisa ukizingatia maelezo ya kitabibu, kwa kuwa wewe ni mtu mzima teyari epuka kuwa na hisia za ngono kipindi cha tohara, kwa sababu ukidindisha mara kwa mara nyuzi zinaweza kuachia na kuchelewesha kidonda kupona,
SEHEMU INAYOCHELEWA KUPONA NI ILE YA CHINI YA KICHWA CHA UUME ILIYO SAMBAMBA NA MSHIPA. BEWARE!!!! BRO, TAKE MEASURE
Mimi ni kijana wa kipare, nina miaka 24. Tatizo nililonalo nikua sijatairiwa n naona aibu kwenda hospital kutahiri kwani ntachekwa na vijana wenzangu mtaani. Hii hali inanipa wakati mgumu kwani nashndwa kukojoa mbele ya wenzangu. Nafikiria kwenda kwa kijijini nikae nauguza kidonda. Je inachukua siku ngapi kupona?