Nimefubga steering power mpya, steeling rack mpya na fan belt mpya lakini bado gari inapiga kelele hasa ninapopiga kona, na kila ninaposikia hizo kelele nikicheki steering power oil inakuwa imeshuka Kidogo lakini mafundi hawajaona popote inapovuja.
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.