Samahani unazungumzia fremu ya picha ya mbao ama picha ya mbao?Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
Thanks mkuuView attachment 2862033
Mcheck huyu