Msaada :Kutetemeka ziwa /Titi kwa mwanamke inasababishwa au ni dalili ya Ugonjwa gani?

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habar wanajamvi naombeni msaada, mapenzi wangu ameanza kupata tatizo la Kutetemeka ziwa la kulia na wiki sasa tokea tatizo hilo lianze na linatetemeka mpaka nguo ya juu inaonyesha kama linatetemeka. Je tatizo hili linasababishwa na nini au ni dalili ya Ugonjwa gani?
 
Mwambie akueleze ukweli kuna kitu anakuficha huyo kala vya watu (katembea na mume wa mtu huyo)
 
Jamani acheni utani kwny mambo ya kiafya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…