DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 May 18, 2020 #1 Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata ukipiga Window ukifika maala ya kuchagua disk ipo empty.
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 May 18, 2020 #2 Kama ni HDD inatoka kwa windows. Tofauti na hapo umefeli