Msaada kutoa pesa

Msaada kutoa pesa

Mkuu hamna sehemu inayoonyesha kuwithdraw
 
Mkuu hamna sehemu inayoonyesha kuwithdraw
Click on 'Transfers' on the top grey bar and select 'Internal Transfers' from the bar on the right hand side. The 'from' account is your trading account and the 'to' account is your landing account. Enter the amount (in your trading currency) that you would like to withdraw.
 
Ni rahisi wewe sema lugha ndio inakuchanganya apo. Jp hanaga neno withdrawal amekaa kitapeli fanya internal transfer ukiweza funga trades zote chukua pesa yako tafuta broker ingine kutoka Cyprus, USA na Israel.
 
Halafu mkitapeliwa mnalialia!! Do not involve yourself in anything that you do not understand. Usijiingize kwenye mambo usiyokuwa na ufahamu nayo utalizwa; hasa haya mambo ya kijigiditali!!

Tamaa ya kufikiri kuwa utatajirika upesi kupitia hizi games za FOREX zinawafilisi masikini wengi kwani hiyo michezo ina wenyewe.
 
Ndinani, Kwani hao wenyewe ni kina nani mkuu? Nadhani lilikua swala dogo la kumuelekeza tu kama hujui unakaa kimya sio kuja kuleta majungu na dharau hapa.
 
Hivi inshu ya templer na vodacom imekaa vyema?
 
Ndinani, Kwani hao wenyewe ni kina nani mkuu? Nadhani lilikua swala dogo la kumuelekeza tu kama hujui unakaa kimya sio kuja kuleta majungu na dharau hapa.

Wewe bila shaka ni mmoja wa matapeli wa kwenye mtandao; unaona hawa wahanga wakielimika utakufa kwa njaa! Hapo hakuna majungu ni kuwalinda wakuja!!
 
Halafu mkitapeliwa mnalialia!! Do not involve yourself in anything that you do not understand. Usijiingize kwenye mambo usiyokuwa na ufahamu nayo utalizwa; hasa haya mambo ya kijigiditali!!

Tamaa ya kufikiri kuwa utatajirika upesi kupitia hizi games za FOREX zinawafilisi masikini wengi kwani hiyo michezo ina wenyewe.
Na wenyewe ndo sisi
 
Back
Top Bottom