Repeat module maana yake kwa saiv ulisha fanya sup mara 2 umefail, sasa sup ya 3 inakubidi urudi darasani usome upya semester 2, cat 1, assignment na end plus ada ulipe ya nusu ya mhula mzima.
Incomplete ndo huwa inakuwa na missing mojawapo kati ya assignment, cat or end.
Huna haja ya kuja kujaza serva za Jf, ina maana huna mawasiliano na chuo chako plus wanafunzi