Hela ipo kwenye mzunguko kwa wafanyabiashara,so inflation ipo juu na cost of living.solution ni kupunguza mfumuko wa bei.mf income ya mwanzo ni sh 100 na mkate ni sh 10{utanunua mikate 10}, mkate ukipanda bei mpaka sh 20 income ikiwa pale pale{utanunua mikate mitano.kwa kifupi,ila ni key concept,kuna mengi zaid.