Msaada kutoka kwenu wataalamu wa Uchumi

Omasala

Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Imekuwa ni wimbo wa kila mtanzania, kuwa hela imekuwa ngumu kupatikana, biashara haziendi
wadeni wangu, wameshindwa kunilipa kwa zaidi ya miezi mitano sasa. Swali: hali hii ina sababishwa na nini hasa
na nini kifanyike?
Kitaalamu zaidi kwa ameture,
 
Usipoteze muda wako kuuliza hawa Economist wa kibongo ambao wapo mpaka wenye Shahada ya Uzamivu wa Uchumi lakin hawajiamini walau kuanzisha kimwamvuli cha kuuzia Vocha utaishia kupata majibu ya kisiasa ya ki ccm na kichadema au waki brain storm zaid wataishia kwenye majibu ya kibaguzi na mizaha!.
 
Maundumula, ningejua chanzo, nafikiri ningejua nini chakufanya, maana nimeona hii hali ipo kwa watu wengi tuu.
 
Hela ipo kwenye mzunguko kwa wafanyabiashara,so inflation ipo juu na cost of living.solution ni kupunguza mfumuko wa bei.mf income ya mwanzo ni sh 100 na mkate ni sh 10{utanunua mikate 10}, mkate ukipanda bei mpaka sh 20 income ikiwa pale pale{utanunua mikate mitano.kwa kifupi,ila ni key concept,kuna mengi zaid.
 
Damp36, asante kwa mawazo na mchango wako. Hiyo inflation inapunguzwa na nani, is there any part I should play to make a change?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…