msaada kutokwa damu mwezi 1 bada ya kushika mimba.

msaada kutokwa damu mwezi 1 bada ya kushika mimba.

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni ipi? je mwanangu atapona kweli? pia anasikia maumivu ya tumbo kama breed. msaada tafadhari.
 
Muwaishe hosp...
Inaweza kuwa nithreat ya miscarriage so kuwahi hosp ni best option kuokoa maisha ya mama na mtoto na esp kama ni mimba iliyotunga nje ya mfuko wa uzazi.inahatarisha maisha...so whenever u c blood kwa pregnant women c dalilibya kuipuuzia

Japo kwa some case kuna wanawake wanapata discharge ya damu miezi mitatu ya mwanzo kwa sababu mbalimbali ikiwepo hormone na mtoto akawa salama kabisa.

Unapompeleka hosp kwa kesi ya hapo juu vaginal exams itafanyika na hata scan endapo dr.ataona kuna umuhimu wa hilo na wataexamine characteristic ya discharge inatoyotoka na kurecommend solution kulingana na aina ya case..
 
Thanks mkuu ila mimba imeharibika, tutajaribu tena , upata utungisho
 
Back
Top Bottom