msaada kutokwa damu mwezi 1 bada ya kushika mimba.

msaada kutokwa damu mwezi 1 bada ya kushika mimba.

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
doctors nambeni ushauri, mkewangu ameshika mimba ni mwezi moja sasa, chaajabu ameanza kuona damu kwa mbali toka juzi hadileo naona inazidi kadri muda unavoenda, tatizo ni nini? na tiba yake ni ipi? je mwanangu atapona kweli? pia anasikia maumivu ya tumbo kama breed. msaada tafadhari.
 
Mkuu nenda kwa daktari tu hapo na sana sana nenda hospitali kubwa yenye vipimo vya kueleweka maana hapo I know hadi Ultra sound na vipmo vingine vinahusika.
Fanya haraka mkuu wala sio swala la kuchelewa na kungoja ushauri wa jf wakati mkeo anaumia.
 
Jamani na nyie hebu mkimbizeni Hospital mala moja sio mnakaa mnaangalia damu tu inatoka, 2 years past nilipata dalili kama hizo ndani ya siku tano nikapata miscarriage ,lakini mie niliwahi Hospital ,So mpeleke mapema akapate matibabu na ataambiwa kupumzika sana pia kuna dawa za Kucontrol
 
Asanteni kwa ushauri mkuu na dada mpendwa nampeleka this time.
 
Kuna wakati mwingine afya ya mtu haijitaji mpaka uje JF, mkimbize haraka sana hospital tena nahii umechelewa sana.
 
Imekuwa si riziki kama ujumbe wangu nilivo utuma, eemwezi mungu tupe uwezo na ujasiri wa kujaribu tena .
 
Back
Top Bottom