Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Wataalamu naomba mnisaidie nina mchumba wangu ana tatizo hilo la kutokwa na damu sehemu zake za uke tatizo hili lilianza siku tulipokuwa tunayafanya yetu baada ya kumpelekea mashine damu ikaanza kumtoka na sio damu ile hedhi na hakusikia maumivu yeyote
Na baada ya hapo ananiambia damu iliendelea kumtoka baada ya siku kadhaa tena bila maumivu yeyote wataalamu naomba msaada wa mwenye kujua nini tatizo la hii kitu na tiba yake ni nini.
ASANTE
Na baada ya hapo ananiambia damu iliendelea kumtoka baada ya siku kadhaa tena bila maumivu yeyote wataalamu naomba msaada wa mwenye kujua nini tatizo la hii kitu na tiba yake ni nini.
ASANTE