Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
huwa inatoka na kutulia mara ya mwisho ni wiki iliopitaImetoka kwa muda gani sasa.
Mpeleke hospitali akafanyiwe uchunguzi wa afya ya viungo vya uzazi.
Kwa mwezi inatoka Mara ngapi na je inaharufu au haina ,pia Ni nyepesi au nzito?huwa inatoka na kutulia mara ya mwisho ni wiki iliopita
kuna mwezi ilitoka mara mbili ila baada ya hapo ikawa inatoka mara moja,haina harufu, ni ya kawaida na pia hapati maumivuKwa mwezi inatoka Mara ngapi na je inaharufu au haina ,pia Ni nyepesi au nzito?
Kutoka kwa damu isiyo ya hedhi kwa mwanamke kunatokana na sababu nyingi...Wataalamu naomba mnisaidie nina mchumba wangu ana tatizo hilo la kutokwa na damu sehemu zake za uke tatizo hili lilianza siku tulipokuwa tunayafanya yetu baada ya kumpelekea mashine damu ikaanza kumtoka na sio damu ile hedhi na hakusikia maumivu yeyote
Na baada ya hapo ananiambia damu iliendelea kumtoka baada ya siku kadhaa tena bila maumivu yeyote wataalamu naomba msaada wa mwenye kujua nini tatizo la hii kitu na tiba yake ni nini.
ASANTE
Tobaa...Kwa mwezi inatoka Mara ngapi na je inaharufu au haina ,pia Ni nyepesi au nzito?
Sio ruhusa kufanya nae mpaka umuoe heshimu ndoa NAWASHANGAA HATA WANAOKUSHAURI UMEMUOA HUYO HADI UFANYE TENDO NAEWataalamu naomba mnisaidie nina mchumba wangu ana tatizo hilo la kutokwa na damu sehemu zake za uke tatizo hili lilianza siku tulipokuwa tunayafanya yetu baada ya kumpelekea mashine damu ikaanza kumtoka na sio damu ile hedhi na hakusikia maumivu yeyote
Na baada ya hapo ananiambia damu iliendelea kumtoka baada ya siku kadhaa tena bila maumivu yeyote wataalamu naomba msaada wa mwenye kujua nini tatizo la hii kitu na tiba yake ni nini.
ASANTE
Ndio wengine huwa na harufu ambayo ni tofauti na harufu ya damu mbichiTobaa...
Harufu tena...
ok okKutoka kwa damu isiyo ya hedhi kwa mwanamke kunatokana na sababu nyingi...
Izo sababu zinatofautiana kwa kila mmoja
Sababu kubwa ni ujauzito.. Ambapo unakuwa umetoka, unatoka or unataka kutoka
Sababu zingine zinatokana na kitu kinaitwa abnormal uterine bleeding, apa ndipo ni lazima uangalie factor kama age
Na vitu vingine...
Cha kwanza pima ujauzito kama hakuna ndo uanze kufikiria izo sababu nyingine
hakuna harufu wala hapati maumivuNdio wengine huwa na harufu ambayo no tofauti na harufu ya damu mbichi
Mkuu fasta wahini hospitali mkamuone mtaalamu wa magonjwa ya wanawakehakuna harufu wala hapati maumivu
Cancer kwa umri huo wa uchumba inaweza isiwe yenyeweSymptom ya kansa
embu nilifanyie kazi hili leoMuhimu ni aende hospital wakamfanyie pv examination kwa kutumia speculum