Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 187
Habari za kazi wana jukwaa.
Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita tulibahatika ukutana na tunafanya tendo. Lakini jana akaniambia anajisikia homa, na cha ajabu kilichonishtua ni leo kaniambia tokea tumekutana kimwili amekua akitokwa na maji maji.
Mwanzoni alizani ni sperm zinamalizia kutoka, lakini hali imeendelea yanatoka maji maji yana rangi ya njano, na kasi huongezeka akilala.
Msaada tafadhali ndugu zangu, naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani, yeye pia hajui na hajawahi kuona na mimi pia ndo kwanza nasikia leo..
we mleta mada ni me au ke?