teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 204
WanaJF habarini za leo,,
Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya ananyonya kama kawaida.
Nilijaribu kumpeleka hospitali nikawa nimepewa dawa zilizoandikwa (Elocin) na nyingine (spasmo) lakini naona kama bado tatizo linaendelea na linampelekea kulia sana mara kwa mara na tumbo kama linavimba.
Msaada wa mawazo na ushauri unahitajika,
Asante