teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 204
Ndiyo mkuu,ni mwanangu wa kwanza,pia ananyonya maziwa ya mama vizuri tuMtoto wako wa kwanza huyo?? Watoto wachanga wengi wana shida hiyo, mwanangu pia alikuwa anapatwa na hali hiyo nashukuru Mwenyezi MUNGU sasa ametimiza mwaka na kitu yupo poa. Si ananyonya maziwa ya mama pekee?? Kukaa siku tatu bila kupata choo kwa watoto wachanga ni kawaida sana, hebu tungoje wajuzi waje wachangie.
Asante kwa ushauri wako mkuu,..Baba tafuta pesa mpeleke mtoto hospital achana na clinic za zahanati
Kuna story nilisikiliza clouds njia panda kuna dada mtoto ake alikuwa hapati choo ikafika kipindi kinyesi kikawa kinatoka mdomoni. Baada ya hapo akampleka hosp. Akaambiwa amemchelewesha so ikabidi afanyiwe upasuaji. Wakawa wamemuweka sehemu ya hajakubwa bandia ambayo ipo tumboni kwa ubavuni.
So muwaishe mtoto tafuta madaktari walio bobea kwa watoto acha kupanga foleni kwenye zahanati unapoteza muda. Ukipelekwa hosp. Ambayo aieleweki omba rufaa fastaa hadi ufike muhimbili kama upo dar lakini.
Kama upo dar. Madactari wa watoto wengi sanaaaa
Ulizia tu utapata
Jaribu kumkandakanda maeneo ya tumboni kwa maji ya uvuguvugu hadi ya moto kiasi. Wakati mwingine huwa inasaidia. Huku ukijiweka sawa kwenda kumuona pediatrician.WanaJF habarini za leo,,
Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya ananyonya kama kawaida.
Nilijaribu kumpeleka hospitali nikawa nimepewa dawa zilizoandikwa (Elocin) na nyingine (spasmo) lakini naona kama bado tatizo linaendelea na linampelekea kulia sana mara kwa mara na tumbo kama linavimba.
Msaada wa mawazo na ushauri unahitajika,
Asante
Wewe ulihudhuria clinic kweli ? Mtoto ana mwezi mmoja hajapata choo sio tatizo anaweza kaa hata wiki bila kupata choo na hilo sio ugonjwa wala tatizo ni kawaida kwa watoto wachangaWanaJF habarini za leo,,
Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya ananyonya kama kawaida.
Nilijaribu kumpeleka hospitali nikawa nimepewa dawa zilizoandikwa (Elocin) na nyingine (spasmo) lakini naona kama bado tatizo linaendelea na linampelekea kulia sana mara kwa mara na tumbo kama linavimba.
Msaada wa mawazo na ushauri unahitajika,
Asante
Hata huyo dr aliyekupa dawa alikupa dawa ili utibu nini mnyonyeshe huyo mtoto katika position zinazohitajika akishiba usimlaze kwanza hakikisha unambeulisha akibehua ndio umlaze akikosa choo hata wiki usiogope ni kawaida ila ukombeulisha hatakusumbua kamweWanaJF habarini za leo,,
Kijana mwenzenu hapa limenifika shingoni ni hivi; nimejaaliwa kupata mtoto hivi karibuni ila tatizo limejitokeza kwa kipindi hiki kifupi kuwa hapati choo na kunyonya ananyonya kama kawaida.
Nilijaribu kumpeleka hospitali nikawa nimepewa dawa zilizoandikwa (Elocin) na nyingine (spasmo) lakini naona kama bado tatizo linaendelea na linampelekea kulia sana mara kwa mara na tumbo kama linavimba.
Msaada wa mawazo na ushauri unahitajika,
Asante
Punguza dharau ktk hizo facilities kumbuka hizo zahanati au clinics ndiyo vituo vinavyotoa huduma kwa watanzania zaidi ya 98% Usiwavunje moyo wanainchi mahali wanakopata huduma.Baba tafuta pesa mpeleke mtoto hospital achana na clinic za zahanati
Kuna story nilisikiliza clouds njia panda kuna dada mtoto ake alikuwa hapati choo ikafika kipindi kinyesi kikawa kinatoka mdomoni. Baada ya hapo akampleka hosp. Akaambiwa amemchelewesha so ikabidi afanyiwe upasuaji. Wakawa wamemuweka sehemu ya hajakubwa bandia ambayo ipo tumboni kwa ubavuni.
So muwaishe mtoto tafuta madaktari walio bobea kwa watoto acha kupanga foleni kwenye zahanati unapoteza muda. Ukipelekwa hosp. Ambayo aieleweki omba rufaa fastaa hadi ufike muhimbili kama upo dar lakini.
Kama upo dar. Madactari wa watoto wengi sanaaaa
Ulizia tu utapata
Huwa wanakaa hadi wiki na wanakuwa poa tu. Ila kama wazazi huwa tunakosa raha kwasababu utakuta wananyonga nyonga na kujikamua. Siku moja nilimpeleka kwa dr akanambia ni kawaida hiyo.kakaa siku ngap? Wangu alikaa tisa na akawa poa tu, mpeleke hosp
Huyu jamaa ana dharau sana. 98% ya watanzania tunategemea zahanati na vituo vya afya, huyu mtu analeta dharau. Tatizo la watoto wachanga kutopata choo huwa ni la kawaida sana, case aliyotolea mfano haiwezi kuhitimisha kuwa kwenye zahanati kuna matatizo.Punguza dharau ktk hizo facilities kumbuka hizo zahanati au clinics ndiyo vituo vinavyotoa huduma kwa watanzania zaidi ya 98% Usiwavunje moyo wanainchi mahali wanakopata huduma.
Shida yetu watanzania ukishakuwa na pesa kidogo basi unaona wengine wote hawana maana kwako na kuwa selective.
Ni vizuri kuheshimu pia hizo zahanati tunazotumia Pamoja na ushauri unaoutoa kuhusu Ugonjwa wa kutopata choo vizuri kwa mtoto.