Msaada kutotolesha vifaranga

Msaada kutotolesha vifaranga

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
kuku wangu wa kienyeji hawataki kuatamia kwa sababu wamechanganya mayai wakati wa kutaga, hivyo wanagombania sehemu moja wakati wa kuatamia.

kukodi mashine ya kutotolesha (hatcher machine) ni garama kulinganisha na kuku wachache nlio nao. kwa wale wabunifu....kuna njia nyingine ninayoweza kutumia kuangua mayai yangu bila kutumia kuku au mashine?...........thanks
 
huna haja ya kukod mashine, kuna watu wanatotolesha, watafute
 
Back
Top Bottom