kuku wangu wa kienyeji hawataki kuatamia kwa sababu wamechanganya mayai wakati wa kutaga, hivyo wanagombania sehemu moja wakati wa kuatamia.
kukodi mashine ya kutotolesha (hatcher machine) ni garama kulinganisha na kuku wachache nlio nao. kwa wale wabunifu....kuna njia nyingine ninayoweza kutumia kuangua mayai yangu bila kutumia kuku au mashine?...........thanks