Utajiongezea matatizo bure ndugu yangu,tayari ushapata vidonda vya tumbo,,nini kuendelea na njia za aina hiyo,,cha msingi fanya mazoezi ya kupunguza mwili utafanikiwa tu,,pia punguza kula chakula cha wanga usiku na badala yake kula matunda na mboga mboga za majani kwa wingi....dulcolax ni dawa ya constipation na sio nzuri kuitumia kwa kupunguza unene hiyo ni misuse ya dawa. Pole sana.
Mazoezi ndiyo njia nzuri pia yabidi ujijue huo unene umekujaje?Kuna wengine ni wa asili na wengine ni hali ya kuupendelea mwili vitu vizuri mwisho unaumuka.Fanya mazoezi pia kuna mtu humu katumia asali na maji ya uvuguvugu kilo zikapungua nakushauri hebu tafuta hiyo thread nawe ujaribu kutumia.Zingatia ulaji wenye faida pia maji mengi ya kunywa badala ya chakula.
Kula usishibe ?? Hiki kisambaa au?Mazoezi yanahusika., Ulcer hizo ni kukaa na njaa muda mrefu. Kengine punguza ulaji, kula usishibe.
Kiswahili kwaninini.....kipi kiswahili sahihi?Kula usishibe ?? Hiki kisambaa au?
bibie cuchi kama ni kweli upo serious unataka kupunguwa uzito hebu bonyeza hii thread hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...to-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini-4.html
Na pia waweza kunitumia mimi barua ya Pepe nitaweza kukusaidia kupunguwa huo unene wako niandikie barua Email yangu ni hii fewgoodman@hotmail.com