William Mwite
New Member
- Jul 21, 2020
- 2
- 3
Habari wana JF!!
Kuna nyimbo naitafuta bila mafanikio. Inaimbwa "nilimwomba Mungu sana (sana sanaa), anipatie tunae pendana (namimi ndo maana). Siku zote mi nawe habibi siku zotee, tupo sote mi na wewe habibi tupo sote ""