William Mwite
New Member
- Jul 21, 2020
- 2
- 3
Mkuu hii comment yako futa au edit..Nilimwomba MUNGU alafu hapo hapo tena Kuna neno Habibi
Itakuwa taarabu hiyo, ngoja wajuvi wa taarabu waje Poor Brain
Ngoja tumuite realMamyMkuu hii comment yako futa au edit..
Mimi nasikiliza taarabu sawa ila sio mjuvi
Hapo kwenye wajuvi muweke Vishu Mtata
Nimefika π
Daaah aiseeee huyo tena πππ
Niko hapa πDaaah aiseeee huyo tena πππ
Real mamy kwanini unakua mkorofi..?Niko hapa π
Si ndo mnapenda ππ na mimi ni mkorofi kila sekta π π π hata kama ni ya Nishati.Real mamy kwanini unakua mkorofi..?
Na hii si mara ya kwanza π π π π i
πππππππ Karibu wizara ya kilimo na mifugo..Si ndo mnapenda ππ na mimi ni mkorofi kila sekta π π π hata kama ni ya Nishati.
Ya Dodoma au Dar nikuibukie π π π hutaamini kumuona mtu kwenye mavazi ya kanisani π π ππππππππ Karibu wizara ya kilimo na mifugo..
Utanikita nipo hapa nainjoi maisha.
Am single....
Tunahitaji msaada wakoNimefika π
Huyo anajua kila kitu kuhusu hayo mamboDaaah aiseeee huyo tena πππ
Huyo anajua kila kitu kuhusu hayo mamDaaah aiseeee huyo tena πππ