Msaada: Kuumwa Tumbo Baada ya Tendo la Ndoa

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,304
Reaction score
830
Tafadhar nisaidien, mke wangu anasumbuliwa sana na tumbo kila baada ya tendo la ndoa, tumbo humuuma sana mpk analia. Naomba anayejua tatizo nin na dawa gani,?
 
Kuna maumivu ya tumbo kitaalamu yanaitwa Mittelschmerz, huwatokea wanawake endapo watafanya tendo la ndoa kwenye siku za hatari tu!

Huwa ni maumivu ya kawaida tu na sometimes huwa hayahitaji dawa yeyote. Huweza kuja na tumbo la kukata, kukaza au kuuma ambayo huwepo kwa dakika, saa au siku, inategemea. Na maumivu yake sio makali, ni mara chache sana yanaweza kuwa makali sana.

Ila kiafya hutakiwi kuchukulia mambo kirahisi rahisi namna hii kwa sababu kuna uwezekano kukawa na tatizo kubwa ukapuuzia kwa kudhani ni jambo dogo kisha baadae ikaja kuwa shida.

Hivyo nakushauri, huu sio muda wa kuomba usaidiwe dawa ya kutumia. Ni vyema akaenda kufanya vipimo kabisa. Haya mambo sio ya kudharau kiasi hicho.
 
Utakua una ndefu sana mkuu inachoma hadi kwenye kizazi!!!
Hakuna kitu kama hicho, uke wa Ke uko karibu zaidi.

Hakuna saizi ndefu ya uume wa Me kuzidi saizi husika ya uke ya Ke.

MFANO:

Tafuta punda ukiwakuta wanahondomora mambo kisha lete hapa majibu.
 
Yenyewe maumivu hata siku 3 na kuendelea
 
Tafadhar nisaidien, mke wangu anasumbuliwa sana na tumbo kila baada ya tendo la ndoa, tumbo humuuma sana mpk analia. Naomba anayejua tatizo nin na dawa gani,?

Pole sana, kuna sababu zisizo pungua 15 zinazo pelekea mwanamke kupatwa na maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa, sababu hizo zinaweza kudadavuliwa na kubainika kwa kuchukua historia sahihi kwa mkeo. Lakini sababu kuu zaidi huwa ni tatizo la mishipa ya nyonga, haswa mishipa inayorejesha damu kwenye moyo. Hali hii kitaalamu hufahamika kama Pelvic congestion syndrome

Ni miongoni mwa sababu za kuleta maumivu ya tumbo la chini yanayoendelea kuumiza baada ya kujamiiana, dalili zingine ambatana ni pamoja na Shinikizo la chini ya tumbo hudumu zaidi ya miezi sita, usumbufu wa mzunguko wa hedhi, maudhi sehemu ya uke, maumivu ya mishipa sehemu ya miguu na mapaja, kukojoa mara kwa mara, mumivu ya mguu wakati wa hedhi, maumivu ya kiuno na maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa.

Tunapatikana kwasasa, WhatsApp link occdoctors
 
Tafadhar nisaidien, mke wangu anasumbuliwa sana na tumbo kila baada ya tendo la ndoa, tumbo humuuma sana mpk analia. Naomba anayejua tatizo nin na dawa gani,?
amefanya cancer screening hasa cervical.? pelvic inflamatory disease, probably akawa na tumors
 
Hakuna kitu kama hicho, uke wa Ke uko karibu zaidi.

Hakuna saizi ndefu ya uume wa Me kuzidi saizi husika ya uke ya Ke.

MFANO:

Tafuta punda ukiwakuta wanahondomora mambo kisha lete hapa majibu.
dah! nmekumbuka mambo ya punda
 
Back
Top Bottom